Wenyeviti
wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao
wakati wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato
huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni
Katibu Mkuu wa ADC, Lucas Limbu
Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James
Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof.
Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa.
Umati
wa watu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kuwahamasisha
wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha
wananchi wote uliofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment