Makamu wa Rais, Dr Gharib Bilali, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es
Salaam, Said Meck Sadick, Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es Salaam na
mwandishi wa habari wa kituo cha TBC, George Kasembe wamenusurik kifo baada ya
helikopta waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere wakiwa kwenye ziara ya kukagua athari za
mafuriko yaliyotokea baada jijini Dar Es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea
kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini
No comments:
Post a Comment