Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Lindi bi Riziki
Rurida amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Wananchi Cuf, Bi Riziki
Rurida ambaye alikuwa mmoja wa walishiriki wa kura za maoni kwa chama cha
mapinduzi (CCM) akiwania kusimamishwa katika nafasi ya ubunge katika jimbo la
Mchinga ambalo lipo chini Saidi Mtanda amabye ndiye alikuwa mpinzani wake.
Mbunge huyo amelalamika kwamba uchaguzi huo ulikuwa na mzingwe mingi. Mbunge
huyo alikabidhiwa kadi na Maalam Seif Sharif Hamadi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Mchinga
No comments:
Post a Comment