Hit maker wa ngoma kama Hujafa hujaumbika na Kua Uyaone Side boy maarafu kama SIDE MNYAMWEZI amefariki dunia leo hii mchana katika Hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Side mnyamwezi alikuwa anasumbuliwa na TB ya Mifupa. Taarifa zaidi zitakujia kupitia blogu hii.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU
No comments:
Post a Comment