Mario Balotelli japokuwa ni mtukutu akiwa kwenye uwanjani lakini ni mtu watu sana na hilo ameridhihirisha kwenye account yake ya twitter baada ya kufikisha followers milion mbili (2,000,000) akatoa ofa ya kumfollow mshabiki wake yeyote ambaye atamtumia picha ya mzaha, utani ambayo itamfanya acheke. Balotel aliandika maneno haya
Mashabiki wake wakamfungukia kama ifuatavyo
Duuuuuh! hapa De Jong kasanda mwenyewe, So funny
No comments:
Post a Comment