Maji yakipita kwa kasi ya ajabu kwenye eneo lililoharibiwa na maji.
Eneo la daraja ambalo limeharibiwa na maji linavyonekana kwa mbali.
Kijiko kikipima kina cha maji kabla ya kuweka mawe ili kuzuia maji.
Kijiko kikipanga mawe.
shughuli inaendelea ya kujaza kifusi cha mawe ili kuziba eneo liliharibiwa na maji.
Shughuli inaendelea
Wafanyakazi wakiendelea na shughuli ya kupanga viroba vya mchanga
No comments:
Post a Comment