Kamati ya rufaa ya TFF imetangaza rasmi kuremjesha katika
kinyang’anyiro cha kugombea urais wa timu ya Simba aliyekuwa mgombea bwana
Michael Wambura baada ya kumaliza kusikilia rufaa yake na kubaini kuwa Wambura
bado anastahili kugombea urais katika timu hiyo.
Kwa mujibu wa kamati hiyo ya TFF imesema kwa Bwana Wambura
ni kweli alifungiwa na timu ya Simba baada ya kuipeleka mahakamani lakini
adhabu hiyo haikutekelezwa na kumfanya aendelee kufanya kazi mbalimbali katika
timu hiyo ikiwemo kushiriki katika kuunda kamati ya uchaguzi pamoja na
kutengeneza kaiba mpya.
No comments:
Post a Comment