Mrembo Happiness Watimanywa kutoka Dodoma ameshinda taji la Miss 
Tanzania 2013/2014 baada ya kuwabwaga warembo wenzake 29. Kwa ushindi 
huo Happiness amejishindia zawadi ya gari aina ya IST na Tsh. millioni 
8. Nafasi ya pili imechukuliwa na Latifa Mohamed na nafasi ya tatu 
kuchukuliwa na Clara Bayo.
 kutoka kushoto ni Latifa Mohamed aliyeshika nafasi ya pili, katikati ni
 Happiness Watimanywa aliyetwaa taji na mshindi wa tatu ni Clara Bayo
  | 
| the top 5 | 
                             The    top 10
 
No comments:
Post a Comment