Dogo Janja chini ya mtanashati, anatarajia ku-shoot video ya wimbo wake mpya "Serebuka" jijini Arusha.
"Nashootia Arusha na video itakuwa ya utofauti, itaonyesha uhalisia wa 
miziki ya uswahilini na watu wanavyo serebuka kingaleloo, naamini video 
yanguitakuwa simple halafu kali. Nawaza kufanya na Dx au Nisher maana 
ndio naanza connection nao, nikipata jibu la uhakika nitawaambia 
mashabiki wangu" amesema Janjaro.

No comments:
Post a Comment