Taarifa kutoka Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono 
kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu 
wakitazama mpira.
Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa ulioambatana 
na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea vifo na 
wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
 
No comments:
Post a Comment