Friday, April 25, 2014

Mabeste kuzindua documentary ya maisha yake jumapili hii

Msanii Mabeste anatarajia kuzindua Documentary itakayoonyesha maisha yake halisi, kuanzia wapi aliptoka,  hustle alizopitia mpaka wapi anapoelekea kwa sasa.
"Ducumentary hiyo mpaka sasa ina dakika zaidi ya 40, na nitakuwa nikiizindua kwa episod, so episod ya kwanza nitaizingua pale Billcanas jumapili hii, na nitaendela na episod zingine katika kumbi zingine." amesema Mabeste.

Kwasababu maisha hayasimami yanaendelea na matukio tunakutana nyo kila siku, so documentary hii itaendelea ku-rekodiwa kadri siku zinavyozidi kuendelea, na siku hiyo sitakuwa peke yangu, bali nitakuwa na Country Boy, Queen Darlin, Stamina, Suma Mnazaleti, Deddy, Leo, MRap na wengineo", Aliendelea kusema Mabeste.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...