Bondia
 Francis  Cheka (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na 
Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa
 uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Jumamosi jijini Dar es 
salaam. Mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya kufungana point
Bondia
 Francis  Cheka kushoto akipambana na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa
 mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA 
Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya 
kufungana point 
Bondia
 Francis  Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde 
na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa 
kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam
 mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point 
 Bondia Sukkasem Kietyongyuth 
 kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia Francis  Miyeyusho 
katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kushinda kwa K.O. 
No comments:
Post a Comment