Tuesday, May 13, 2014
ANGALIA TAKWIMU ZA MANCHESTER UNITED LIGI KUU MSIMU HUU WA 2013/2014
Chini ya utawala wa David Moyes , Manchester United imejivunjia rekodi nyingi ambazo zilidumu kwa muda mrefu, pengine tunaweza kusema ni msimu mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa Manchester United.
kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1995 imeshindwa kufuzu kucheza michuano ya klabu bingwa Ulaya. Pia imefunga magoli 29 tu katika uwanja wake wa nyumbani Old Trafford, ni machache tangu Premier league ianzishwe, imepoteza michezo saba katika uwanja wake wa nyumbani.
Na hizi ni takwimu mbali mbali za Man U kwenye ligi kuu msimu huu wa 2013/2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment