Gari aina ya Toyota Coaster
  inayofanya safari zake kati ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam 
imepata ajali mbaya leo mchana baada ya kugongana na gari lingine na 
kusababisha vifo vya watu wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 5 na 16 kujeruhiwa vibaya katika eneo la 
Lugalo, Makongo Sekondari  jijini Dar. Maiti bado zipo eneo la tukio, habari 
zaidi zitakujia hivi punde.!
MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI 





No comments:
Post a Comment