Salim
Kikeke wa BBC Dira ya Dunia, mshindi wa kipengele cha Mtangazaji wa
Runinga
Anayependwa, akizungumza machache baada ya kutangazwa.
Anayependwa, akizungumza machache baada ya kutangazwa.

Mkongwe
King Majuto akiwapa mashabiki wake heko kwa kumpigia kura. Ameshinda
kipengele cha Muigizaji wa Kiume Anayependwa Kwenye Filamu. Pembeni ni Lulu Michael,
mshindi wa Mwigizaji wa Kike Kwenye Filamu Anayependwa.
kipengele cha Muigizaji wa Kiume Anayependwa Kwenye Filamu. Pembeni ni Lulu Michael,
mshindi wa Mwigizaji wa Kike Kwenye Filamu Anayependwa.

Salim Kikeke (katikati), Mtangazaji wa Runinga Anayependwa akiwa na Luca Neghesti na
Nancy Sumari waandalizi wa Tuzo za Watu.
Nancy Sumari waandalizi wa Tuzo za Watu.

Kichwa
chenyewe ndiyo hiki, Luca Neghesti mwasisi wa Tuzo za Watu. Kijana ana
mipango
mizuri, anastahili kuungwa mkono. Boss wa Bongo5 pia.
mizuri, anastahili kuungwa mkono. Boss wa Bongo5 pia.

Sasa
hapa Majuto (kofia nyeupe) huwezi kujua anaigiza au la! Lakini huyu
kweli mkongwe,
toka enzi za DDC Magomeni Kondoa, chuma kimedumu sana hiki. Jacqueline Wolper yuko na
simu, sijui ni Instagram au…!?
toka enzi za DDC Magomeni Kondoa, chuma kimedumu sana hiki. Jacqueline Wolper yuko na
simu, sijui ni Instagram au…!?

Millard Ayo wa Clouds FM, kama kawaida yuko smart sawa sawa. yeye kaondoka na mtangazaji
wa redio anayependwa.
wa redio anayependwa.

No comments:
Post a Comment