Baada ya kulipia upasuaji wa watoto kumi na moja (11) inchini
Brazil kabla ya Kombe la Dunia Mesut Ozil ameongeza idadi mpaka kufikia idadi
ya watoto ishirini na tatu (23), akimaanisha kila mtoto kwa mchezaji mmoja na
kufanya idadi hiyo kuwa watoto 23 kwa sababu kikosi kina wachezaji 23.
Gharama hizo zinatokana na
zawadi aliyopata baada ya kushinda Kombe la Dunia Jumapili iliyopita. Akiongelea
msaada huo kupitia ukurasa wake wa facebook Ozil anasema ushindi walioupata
hautokani tu na wachezaji kumi na moja (11) waliokuwa dimbani wanacheza bali ni
timu nzima kwa anaongeza idadi kufikia watoto 23, pia anasema hii shukrani
binafsi kwa ukarimu wa watu wa Brazili ambao ndi waandaji wa mashindano haya kwa mwaka huu.
Na hiki ndicho alichoandika kuhusiana na msaada huo
No comments:
Post a Comment