Papa Francis ametweet kwenye akaunti yake ya twitter
ujumbe unaouhusu kombe la dunia ambalo fainali yake itapigwa kesho kwa
kuzikutanisha mataifa ya Ujerunani na Argentina. Papa kupitia twitter ameeleza jinsi gani
kombe la dunia lilivyokutanisha watu wa mataifa na dini mbalimbali ambayo ni
ishara ya kwamba michezo hudumisha amani bila kujali watu wana tofauti ipi.
Papa ametweet ujumbe huu.
No comments:
Post a Comment