Msanii wa muziki wa kizazi kipya 
Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya 
kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu.
 
Tukio
 hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika mji wa Naivasha uliopo Nairobi
 nchini humo ambapo mwanadada huyo alipopanda jukwaani akiwa amevaa 
sketi fupi iliyokuwa imeacha sehemu kubwa ya mapaja wazi, wanaume 
wakware walianza kumvutia chini kwa nguvu.
“Nusura Baby Madaha abakwe, wanaume wakware walishindwa kuvumilia, palepale jukwaani wakaanza kumvuta huku wengine wakimng’ang’ania paja lake lakini aliokolewa na mabaunsa vinginevyo tungekuwa tunaongea mengine,” kilisema chanzo.

BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU

No comments:
Post a Comment