Msanii mkali wa Bongo Fleva Happy Balice ameachia ngoma kali inayokwenda kwa jina la Liar. Ngoma hiyo imefanyika studio za Rocfame Music Group chini ya producer Hans Q, usipitwe na utamu hebu download hiyo ngoma kupitia link hapo chini kumsapoti Happy Balice
No comments:
Post a Comment