KANSA MOHAMED MBARUKU achukua fomu kupambana na MBOWE uenyekiti chadema Taifa., kwa sasa ni mwenyekiti wa mkoa wa Tabora.
Mpinzani huyo aliyerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti jana siku ya 
mwisho ya urejeshaji wa fomu saa 9.25 alasiri huku akiwa ameongozana na 
walinzi na wajumbe wengine kutoka zaidi ya mikoa 19 wanaotaka kumtoa 
mbowe madarakani ili wadhibiti nidhamu ndani ya chama.
Alipoongea na waandishi wa habari waliotaka kujua nini vipaumbele vyake 
alisisitiza kuwa ni NIDHAMU YA MATUMIZI YA FEDHA ZA CHAMA, DEMOKRASIA 
KWA VITENDO na kukomesha MAKUNDI na UBAGUZI wa MAKAO MAKUU.
    Mwenyekiti Mtarajiwa wa CHADEMA TAIFA Bw. KANSA MOHAMMED MBARUKU. akisisitiza Jambo kwa waandishi wa Habari
                               FOMU YANGU HII HAPA
AKITOKA MAKAO MAKUU KURUDISHA FOMU
No comments:
Post a Comment