Mtu mmoja
 amekatika miguu na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya lori  moja 
kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya Coaster linalofanya 
safari kati ya Ubungo, Tegeta katika eneo la Tegeta Dar es Salaam.
Taarifa kutoka
 kwa watu walio shuhudia ajali hiyo wanasema gari hiyo aina ya coaster 
ili gongwa na roli hilo ambalo lilikua kwa mwendo wa kasi.Walio karibu 
na baada kwa tukio hilo ni mafundi gereji wa Tegeta walifanya jitihada 
kutumia vifaa vyao kukata mabati ya gari ili kuwatoa watu walionasa 
ndani ya gari iliyokuwa na abiria.Kumekua na ajali nyingi zinatokea 
kutokana na uendeshaji wa magari hayo kwa kasi na pia bila kuzingatia 
sheria za barabarani.

No comments:
Post a Comment