Mpe support yako msanii MAN TUZZO kwa kumpigia kura ili awe mshindi wa tuzo za muziki Zanzibar(Zanzibar Music Award 2015). Amechaguliwa katika vipengele viwili, MWANAMZIKI BORA WA MWAKA WA KIUME mpigie kura kwa kutuma namba 48 kwenda namba 0772769969 na MSANII BORA WA RNB mpigie kura kwa kutuma namba 15 kwenda 0772769969.
TUNAOMBA SUPPORT YAKO
No comments:
Post a Comment