Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza (katikati) akiongea na waandishi wa habari
Baraza
la Sanaa la Taifa (BASATA) leo limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa
kuwapata wateule rasmi wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.
Akiongea
na waandishi wa habari, Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L.
Mngereza amesema zaidi ya mapendekezo 30,000 yalitumwa kwa njia ya sms
na mtandaoni. Hata hivyo alidai kuwa nyimbo ‘Uzuri Wako’ ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema Mate Tuwachape ya Madee zimeondolewa kwenye mchakato huo kwa madai kuwa zimevunja maadili na hazifai kwa jamii ya Kitanzania.
Upigaji kura utaanza Aprili 1 hadi tarehe 31 Aprili na tuzo zitafanyika May 3 kwenye ukumbi wa Mlimani City.
Haya ndio majina ya washiriki kwenye tuzo hizo.
Wimbo Bora wa mwaka
Number One – Diamond
Joto Hasira – Jaydee
I love u – Cassim
Yahaya – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
Muziki Gani – Nay wa Mitego
Wimbo bora wa Kiswahili – Band
Ushamba Mzigo – Mashujaa
Shamba la Bibi – Victoria sound
Chuki nini – FM Academia
Yarabi nafsi – Mapacha 3
Kiapo – Talent Band
Wimbo Afro Pop
Number One – Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee
Kidela – Abdul Kiba
I love u – Cassim
Tupogo – Ommy Dimpoz
Roho Yangu – Mavoko
Wimbo bora wa Hip Hop
Bei ya Mkaa – Weusi
Nje ya Box – Nick wa Pili & Joh Makini
Siri ya Mchezo – Fid Q
2030 – ROMA
Pesa – Mr Blue
Wimbo bora wa R&B
Listen – Belle 9
Closer – Vanessa Mdee
So Crazy – Maua Samma
Kama Huwezi – Rama Dee
Wa Ubani – Ben Pol
Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego f/ Diamond
Joto Hasira – Lady Jaydee f/ Profesa Jay
Kidela – Abdul Kiba f/ Ali Kiba
Bila Kukunja Goti – Mwana FA & AY f/ J-Martins
Tupogo – Ommy Dimpoz f/ J-Martins
Wimbo bora wa Zouk Rhumba
Yahaya – Lady Jaydee
Yamoto – Mkubwa na Wanawe
Msaliti – Christian Bella
Nakuhitaji – Malaika Band
Narudi Kazini – Beka
Mwimbaji Bora wa Kike – Kizazi Kipya
Vanessa Mdee
Lady Jaydee
Linah
Maua Sama
Mwimbaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Ben Pol
Rich Mavoko
Diamond Platnumz
Ommy Dimpoz
Cassim Mganga
Msanii Bora Hip Hop
Fid Q
Stamina
Young Killer
Nick wa Pili
G-Nako
Msanii Bora Chipukizi
Young Killer
Walter Chilambo
Y Tony
Snura
Meninah
Mtayarishaji Bora – Kizazi Kipya
Marco Chali
Man Water
Mazoo
Sheddy Clever
Nahreel
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Belle 9
Ben Pol
Diamond
Rama Dee
Rich Mavoko
Mtunzi Bora Hip Hop
Nikki wa Pili
Young Killer
ROMA
Fid Q
G-Nako
Mtumbuizaji Bora wa Kiume Kizazi Kipya
Diamond
Christian Bella
Rich Mavoko
Ommy Dimpoz
Abdul Kiba
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Yahaya – Lady Jaydee
Joto Hasira – Lady Jaydee
Uswazi Takeaway – Chege
Mama yeyo – GNako
Mtunzi Bora wa Mwaka Band
Christian Bella
Jose Mara
Chaz Baba
Nyosh El Saadat
Kalala Junior
Bendi ya Mwaka
FM Academia
Mapacha Watatu
Twanga Pepeta
Akudo Impact
Malaika Band
Mashujaa Band
Kikundi Cha Mwaka – Kizazi Kipya
Makomandoo
Navy Kenzo
Weusi
Mkubwa na Wanawe
Kikundi cha Mwaka – Taarab
Jahazi Modern Taarab
Mashauzi Classic
Five Stars
Mwimbaji Bora wa Kike – Taaarab
Khadija Kopa
Isha Ramadhani
Khadija Yusuph
Mwanahawa Ali
Leyla Rashid
Mwimbaji Bora Kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Hashimu Saidi
Mohamed Ali aka Mtoto Pori
Mwimbaji Bora Kiume – Bendi
Jose Mara
Kalala Junior
Charz Baba
Khalid Chokoraa
Christian Bella
Mtunzi Bora Taarab
Mzee Yusuf
El-Ahad Omary
El-Khatib Rajab
Kapten Temba
Sadiki Abdul
Nassoro Seif
Rapper bora wa mwaka – Bendi
Kitokololo
Chokoraa
Ferguson
Canal Top
Totoo Ze Bingwa
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Abuu Mwana ZNZ
Bakunde
Mwimbaji Bora wa Kike – Bendi
Luiza Mbutu
Catherine Cindy
Ciana
Wimbo bora wa reggae
Niwe Nawe – Dabo
Hakuna Matata – Lonka
Tell Me – DJ Aron f/ Fidempha
Bado Nahitaji – Chikaka f/ Bless P & Lazzy
Bongo Reggae -Warriors from the East
Wimbo bora wa Ragga/Dancehall
Nishai – Chibwa f/ Nuru
Sexy Girl – Dr Jahson
My Sweet – Jetman
Feel Alright – Lucky Stone
Wine – Princess Delyla
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Nakupenda Pia – Wyre f/ Alaine
Badilisha – Jose Chameleone
Kipepeo – Jaguar
Kiboko Changu f/ Radio and Weasel
No comments:
Post a Comment