Tuesday, March 25, 2014

Cheki walichoandika watu mbalimbali baada ya Ndanda FC kupanda Ligi kuu


Ndanda FC ya mkoani Mtwara imewatoa kimasomaso wananchi wa mkoa huo baada ya jana
kufanikiwa kupanda ligi kuu ya vodacom. Ndanda FC ambayo ilikuwa inacheza na Polisi ya Dar Es 
Salaam iliondoka na ushindi wa 2 kwa 1 na kufikisha jumla ya pointi 28 ambazo ziliwawezesha 
kupanda kileleni mwa kundi B na kuwaacha wapinzani wao wa karibu Africa Lyon ambao walitoka sare na Green Warriors ya Dar Es Salaam na kufikisha pointi 27 ambazo hazikuweza kuwasaidia kupanda ligi kuu. 
Kufuatia kupanda kwa timu hiyo baadhi ya mashabiki, wapenzi na wachambuzi wa soka waliandika yafuatayo kwenye kurasa zao za facebook kuhusu timu hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...