Waziri mkuu wa Australia amesema kuwa mitambo ya
satelite ya nchi hiyo imenasa picha za vitu vinavyoonekana kama vifusi
ambavyo huenda ni vya ndege ya Malaysia iliyopotea siku 13 zilizopita.
Waziri mkuu huyo, Tony Abbott, ameambia bunge
mjini Canberra kwamba picha za Satelite zimeonyesha vitu viwili
vinavyofanana na vifusi vya ndege hiyo.
Taarifa hii imejitokeza karibu wiki
mbili baada ya ndege hiyo kutoweka na abiria zaidi ya miambili kutoka
mjini Kuala Lumpur Malaysia kuelekea Beijing.
Msemaji wa halmashauri ya usalama wa safari za
ndege, John Young, baadaye alisema kuwa vifaa hivyo ambavyo kimoja kina
ukubwa wa mita 24, vimeonekana umbali wa kilomita 2500 kusini Magharibi
mwa pwani ya Australia.
Aliongeza kwamba,vifusi itakuwa vigumu kuviona vifusi hivyo na pia huenda sio vya ndege hiyo.
Wakati taarifa hii ilipotolewa, kulikuwa na
ndege ya Australia katika neo hilo , ndege zaidi zinatarajiwa kuwasili
katika eneo lenyewe na pia manowari ya jeshi inaelekea huko.
KAVUMBAGU (KULIA) AKISHANGILIA NA WENZAKE BAADA YA KUIFUNGIA YANGA BAO DHIDI YA AZAM FC KWENYE UWANJA WA TAIFA, DAR, LEO.
Shabiki anayeaminika ni wa Azam FC, ameanguka na baadaye kupoteza maisha, dakika chache baada ya mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu kuifungia timu yake bao.
Baada ya Kavumbagu kufunga bao hilo, shabiki huyo aliyekuwa amevaa jezi nyeupe na kutambulishwa kwa jina la Deodatus Isaya Mwakiangula.
Imeelezwa Mwakiangula ni meneja wa baa ya Rose iliyo katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa madaktari viongozi waliokuwa kwenye Uwanja wa Taifa, leo na kumhudumia Mwakiangula kabla ya kupoteza maisha, Nassor Matuzya alithibitisha kuhusu kifo hicho.
Madaktari hao walifanya juhudi kuokoa maisha ya MWakiangula lakini hata hivyo ilishindikana.
Kavumbagu alifunga bao lake katika dakika ya 14, hata hivyo baadaye Azam FC walisawazisha zikiwa zimebaki dakika 8 mpira kwisha kupitia Kelvin Friday.
-SALEHJEMBE
- See more at:
http://onelovetz.blogspot.com/2014/03/breaking-news-goli-la-kavumbagu-laua.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.9splQ0tH.dpufKAVUMBAGU (KULIA) AKISHANGILIA NA WENZAKE BAADA YA KUIFUNGIA YANGA BAO DHIDI YA AZAM FC KWENYE UWANJA WA TAIFA, DAR, LEO.

http://onelovetz.blogspot.com/2014/03/breaking-news-goli-la-kavumbagu-laua.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+blogspot%2FhgdRs+%28Onelove+Tz%29&utm_content=FaceBook#sthash.9splQ0tH.dpuf
No comments:
Post a Comment