Thursday, April 10, 2014

DAVIDO NA WALE KATIKA TRACK MOJA

Msanii kutoka Nigeria anayetamba na kibao cha Skelewu Davido na Wale wanatarajia kutoka kwenye collabo moja ambayo mpaka sasa jina kamili halijapatikana. Habari hizi zimeenea baada ya Wale kupost kwenye account yake ya Instagram picha akiwa studio na Davido, pia Wale aliandika hivi kwenye mtandao huo.

 "Chilling at my spot wit @lifeofdavido writin these naija tunes", Wale wrote on Instagram.






No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...