JIONEE UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX NI BALAA TUPU
Kuna
vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu
kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la NITASUBIRI,
Jux ameshea picha hizi katika mtandao wa kijamii wa instagram na
kuzungumza juu ya ujio wa video yake hiyo itayokujia hivi karibuni. Tazama picha jinsi utengenezaji wa video hiyo ulivyochukua nafasi huko nchini china
No comments:
Post a Comment