Daraja la Mpiji linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar Es Salaam limeharibika kutokana na mvua inayonyesha tangu juzi. Daraja hilo ambalo linaunganisha mtaa wa Bunju B na kijiji cha Mapinga(Bagamoyo) limesababisha kusimama kwa shughuli za usafiri kutokana na hatari ya kubomoka kabisa endapo litatumiwa. Lakini mpaka tunarusha habari hii viongozi wa kitaifa na mkoa wametembelea ili kuona hali halisi na taratibu za kurekebisha zimeanza.
NA HII NDIO HALI HALISI KATIKA PICHA
Mto Mpiji ukiwa umefurika maji
Eneo la daraja ambalo limepata dhoruba
Eneo lililopata dhoruba
No comments:
Post a Comment