Friday, April 25, 2014

Mwisho Mwampamba Kuanza Kutangaza TV1 Hivi Karibuni.


Mwisho Mwampamba amabaye aliwahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Afrika kwa vipindi viwili tofauti anatarajiwa kuonekana kama mtangazaji katika TV1 Tanzania muda sio mrefu. Hata hivyo bado haijajulikana kama star huyo atatangaza kipindi kinachohusu nini ingawa kinaweza kuwa cha entertainment.


Mwisho alizikonga nyoyo za mademu wengi wa Afrika katika shindano la kwanza kabisa la Big Brother Africa 2003 kabla ya kurudi tena kama mwakilishi miaka kadhaa baadaye.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...