Saturday, May 17, 2014

ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA GHAFLA AKIWA LOCATION


Adam Kuambiana
Habari zilizoifikia muda huu ni kuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni director Adam Kuambiana Amefariki dunia muda mchache uliopita baada ya kuanguka ghafla akiwa location.

Enzi za uhai wake Kuambiana alianza kujipatia umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Fake Pastors na baada ya hapo kucheza filamu nyingi zilizompa umaarufu kabala ya kuanza kuwa director.

Tutawaletea updates zaidi kuhusu kifo cha Kuambiana ambacho ni pigo katika tasnia ya filamu nchini.
                                                  
Adam Kuambiana
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...