Friday, July 18, 2014
THT YAFANYA HAFLA YA KUMUAGA LINA
Msanii Lina akitoa zawadi kwa mkurugenzi wa Tanzania House of Talent(THT)Ruge Mutahaba katika hafla ya kumuaga msanii huyo kutoka chini ya THT na kuelekea kampuni ya No Fake Zone(NFZ)ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo iliyofanyika jana katika ofisi za THT,jijini Dar.Mkurugenzi wa THT akzungumza kwenye hafla hiyo ya kumuaga msanii Lina.Mkurugenzi wa THT,Ruge Mutahaba akitoa cheti cha Ustadi wa kazi kwa msanii Mwasiti ambaye ameitambulisha vyema taasisi hiyo tangu ilivyoanza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment