VP Penny na Rio Paul
Vipindi vya TV kuhusu filamu za kitanzania vinazidi kuongezeka kila siku katika harakati za kuzidi kuitangaza tasnia ya filamu Swahiliwood. Habari mpya ni kuwa mtangazaji maarufu nchini VJ Penny soon ataonekana katika kipindi kipya kinachohusu filamu za kitanzania ambacho kitaonekana katika kituo cha kimataifa kinachoonekana nchi za Afrika mashariki na kati.
Mishe mishe za kipindi hicho tayari zimeanza kwa kasi ambapo pia Penny atasaidiwa kwa ukaribu na Rio Paul ambaye ni fashion designer na pia celebrities' stylist. Hizi ni baadhi ya photos kutoka utengenezaji wa kipindi hicho..........
Vj Penny akipitia script ya kipindi
No comments:
Post a Comment