Mwanamuziki maarufu muziki wa taarabu nchini Mzee Yusuph anakuja na
filamu mpya inayoitwa Nitadumu nae akiwa na Sandra, Salha, Sania na Mzee
Chilo, Filamu hiyo ilitakiwa kutoka August 4 mwaka huu lakini TRA
kidogo walizingua katika sticker kwa mujibu wa mtandao wa Filamucentral. hivyo inatarajiwa kutoka muda si mrefu. Filamu hiyo imeandikwa story na Mzee Yusuph.
No comments:
Post a Comment