Mwanamuziki na Bondia, Khalid Chokoraa (kushoto) akichapana na mpinzani
wake said Memba, wakati wa pambano lao la Raundi nne, lililofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la
Matumaini.Katika pambano hilo,Chokoraa ameshinda kwa Pointi.
Mada Maugo (kushoto) akichapana na mpinzani wake Thomas Mashali, wakati
wa pambano lao la Raundi sita, lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini dar,usiku huu wakati wa tamasha la Matumaini.Katika pambano hilo,
Maugo ameshinda kwa Pointi.
Maugo, akibebwa na mashabiki wake wakishangilia ushindi....
wasanii wa Maigizo,Cloud (kushoto) na JB, wakichana wakati wa Tamasha hilo. Jb alishinda
No comments:
Post a Comment