Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye ni shabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete akivua jezi yake kwa ajili ya mashabiki mara baada ya ushindi wa
timu yake wa mabao 3-2 dhidi ya Simba leo.
Mwigulu Nchemba akiwarushia skafu yake mashabiki wa Yanga.
Ridhiwan Kikwete akishangilia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba.
Hekaheka wakati wa mtanange huo.
Mashabiki wakifuatilia mtanange huo.
Timu zikiingia uwanjani.
Ridhiwan akiwapa hi mashabiki.
Waamuzi wakiingia uwanjani.
Kikosi cha Yanga kilichokwaana na Simba na kuibuka na ushindi wa 3-2.
Kikosi cha Simba kilichopigwa 3-2 na Yanga.
Mwamuzi Othman Kazi akiongea na manahodha wa Yanga na Simba (Wabunge).
Mechi ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga iliyopigwa katika Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014
imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-2. Wafungaji Simba:
Maji Marefu na Yusuf Gogo. Yanga: Idrissa Kitwana, Ahmed Ngwali na Mark
Tanda.
No comments:
Post a Comment