Mrembo Sitti Abbas Mtemvu ametangazwa kuwa ndiye Redds Miss
Tanzania 2014. Yeye alinyakua Redds Miss Chang’ombe na baadaye Redds
Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.

Hii ndio tano bora ya Miss tanzania 2014.

Vanessa Mdee akifanya vitu vyake.



BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU
No comments:
Post a Comment