Wednesday, April 23, 2014

WASANII ZAIDI YA MIA MOJA WAFANYA VIDEO YA WIMBO WA MIAKA 50 YA MUUNGANO









 
Zaidi ya wasanii mia moja wakiwemo wasanii wa bongo fleva,taarab,gospel,na wengineo wameungana kwa pamoja na wamerekodi wimbo wa wa kuhamasisha sherehe za muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) TANZANIA @50.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...