Monday, March 24, 2014

KADJA WA MAUMIVU AWASHURU MASHABIKI WAKE


Hit maker wa ngoma ya Maumivu Niache ambayo inasumbua kwenye vituo mbalimbali vya redio na TV hapa nchini, Kadja kupitia ukurasa wake wa facebook amewashukuru mashibiki wake kwa kuiwezesha track yake hiyo kushika namba moja(1) kwenye top 20 za Clouds Fm.

Na hiki ndicho alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook msanii huyo ambaye anatamba na kibao chake kipya NZOGO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...