Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi akiwa na umri wa miaka 26 tu amevunja rekodi
iliyodumu kwa muda mrefu ya Alfred Di Stefano ya kufunga magoli mengi kwenye
mechi za El Clasico baada ya kufunga hat-trick mechi ya jana.
Alfred Di Stephano wa Real Madrid alipachika magoli 18
katika michezo 30 kati ya mwaka 1953 mpaka 1964 lakini Messi mpaka sasa
amepachika magoli 21 katika michezo 27 aliyocheza.
No comments:
Post a Comment