Wakala wa mchezaji Paul Pogba, Mino Raiola amesema
hatasikiliza ofa yoyote ile mpaka kombe la dunia limalizike.. kutokana na
kiwango kizuri kilichooneshwa na mchezaji huyo msimu huu anahusishwa na mipango
ya kujiunga na klabu za Real Madrid, Manchester auanited na Paris Saint German.
Lakini wa kiungo huyo amesisitiza kwamba chipukizi huyo amejielekeza zaidi
katika kufanya vizuri kwa klabu yake ya sasa Juventus.
Hakuna chochote ambacho kinachemka kwa sasa, mpaka
tutakapoondoka Brazil, kwa hiyo tumegharisha mazungumzo yote. Kwa sasa Pogba
ameelekeza nguvu zake kwa klabu yake ili kuiwezesha kuchukua kombe la ulaya na
ubingwa wa ligi ya Italy.
No comments:
Post a Comment