Afande Sele akimzika mkewe mama Tunda
Afande Sele akiwa na Professor J na waombelezaji wakiwa katika huzuni
Waombelezaji waliohudhuria mazishi ya mke wa Mfalme Afande Sele
Afande Sele akilia kwa uchungu. CHINI waombelezaji wakiwa katika shughuli za mazishi.
TASWIRABONGO INATOA SALAMU ZA POLE KWA WAFIWA.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
No comments:
Post a Comment