Askari mmoja wa kikosi cha usalama
barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika
kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi, ambayo
ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za
usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.
pole sana kamanda
ReplyDelete