Umoja vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi maarufu kama UKAWA
wametangaza kutochangia mjadala wa bajeti zote zinazoendelea ndani ya Bunge
hadi pale serikali itakaporekebisha vipengele vinavyobana uhuru wa bunge kama
vile urushwaji wa matangazo moja kwa moja na vyombo vingine bila vizuizi.
No comments:
Post a Comment